Joshua 12:7-8

7 aHawa ndio wafalme wa nchi ambao Yoshua na Waisraeli waliwashinda upande wa magharibi mwa Yordani, kuanzia Baal-Gadi katika Bonde la Lebanoni hadi kufikia Mlima Halaki, unaoinuka ukielekea Seiri. (Yoshua alitoa nchi zao kwa makabila ya Israeli iwe urithi wao sawasawa na mgawanyiko wa makabila yao:
8
In order to format the table contained in this verse correctly, it has been necessary to move the content of some adjacent verses into it.
,
cnchi ya vilima, shefela, upande wa magharibi, Araba, materemko ya milima, jangwa, na Negebu; nchi za Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi):

 9 dmfalme wa Yeriko mmoja
mfalme wa Ai (karibu na Betheli) mmoja
 10 emfalme wa Yerusalemu mmoja
mfalme wa Hebroni mmoja
 11 fmfalme wa Yarmuthi mmoja
mfalme wa Lakishi mmoja
 12 gmfalme wa Egloni mmoja
mfalme wa Gezeri mmoja
 13mfalme wa Debiri mmoja
mfalme wa Gederi mmoja
 14 hmfalme wa Horma mmoja
mfalme wa Aradi mmoja
 15 imfalme wa Libna mmoja
mfalme wa Adulamu mmoja
 16 jmfalme wa Makeda mmoja
mfalme wa Betheli mmoja
 17 kmfalme wa Tapua mmoja
mfalme wa Heferi mmoja
 18 lmfalme wa Afeki mmoja
mfalme wa Lasharoni mmoja
 19 mmfalme wa Madoni mmoja
mfalme wa Hazori mmoja
 20 nmfalme wa Shimron-Meroni mmoja
mfalme wa Akishafu mmoja
 21 omfalme wa Taanaki mmoja
mfalme wa Megido mmoja
 22 pmfalme wa Kedeshi mmoja
mfalme wa Yokneamu katika Karmeli mmoja
 23 qmfalme wa Dori (katika Nafoth-Dori)
Au: katika miinuko ya Nafoth-Dori.
mmoja
mfalme wa Goimu katika Gilgali mmoja
 24 smfalme wa Tirsa mmoja

wafalme jumla yao ilikuwa thelathini na mmoja.

Copyright information for SwhNEN